• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Timu ya madaktari wa kimataifa yasitisha operesheni kaskazini mwa Yemen

  (GMT+08:00) 2018-06-12 09:08:20

  Timu ya madaktari wasio na mipaka MSF imetangaza kusitisha kwa muda operesheni zake kaskazini mwa Yemen, baada ya kituo chake cha kutibu ugonjwa wa kipindupindu kilichoko kwenye sehemu inayodhibitiwa na waasi, kushambuliwa kutoka angani mapema jana. Taarifa iliyotolewa na MSF inasema hakuna madaktari au wagonjwa waliouawa au kujeruhiwa kwenye shambulizi hilo, na kwamba operesheni zake kwenye maeneo hayo zitarejeshwa wakati usalama wa wafanyakazi wake na wagonjwa utakapohakikishwa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako