• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Nchi za Afrika Mashariki kukamilisha uratibu wa mawimbi ya simu za mkononi mwaka huu

  (GMT+08:00) 2018-06-12 09:58:01

  Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC imesema nchi wanachama zimekubaliana kukamilisha uratibu wa mawimbi ya simu za mkononi kati yao kabla ya mwisho wa mwaka huu.

  Katibu mtendaji wa shirika la mawasiliano la Afrika Mashariki EACO Bw. Ally Simba amesema huko Nairobi kuwa, kutokana na kuingiliana na mitandao ya simu za mkononi ya nchi nyingine, watu wanaoishi kwenye maeneo ya mipaka walilazimika kutumia mitandao ya simu ya nchi za nje kwa muda mrefu.

  Bw. Simba amesema kazi ya uratibu wa mawimbi ya simu za mkononi imekamilika kwenye asilimia 90 ya maeneo ya mipaka.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako