• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Tetesi za Usajili wa Wachezaji: Griezmann athibitisha kufanya uamuzi wa hatma yake

  (GMT+08:00) 2018-06-13 09:44:37

  Katika mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika jana, mchezaji wa kimataifa wa Ufaransa Antoinne Griezmann, ameweka wazi kuwa tayari amefanya maamuzi kwa ajili ya hatma yake ya kuendelea kucheza katika klabu yake ya Atletico Madrid au La, lakini akikataa kuweka wazi uamuzi huo aliofikia.

  Mchezaji huyo ambaye amekuwa akiwindwa na Manchester United kwa kipindi kirefu, kuna tetesi kuwa huenda akahamia Barcelona kwa msimu ujao wa ligi kuu ya nchini Hispania.

  Akiwa atletico, msimu uliopita Griezmann amecheza mechi 49 na kufunga magoli 29.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako