• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mshauri wa biashara wa Ikulu ya Marekani aomba radhi kutokana na kauli yake dhidi ya waziri mkuu wa Canada

  (GMT+08:00) 2018-06-13 09:44:57

  Mshauri wa biashara wa Ikulu ya Marekani Bw. Peter Navarro ameomba radhi kutokana na kauli yake isiyofaa dhidi ya waziri mkuu wa Canada Bw. Justin Trudeau. Akihojiwa na televisheni ya Fox News jumapili, Bw. Navarro amesema "kuna sehemu maalumu motoni kwa ajili ya waziri mkuu wa Canada ambaye alicheza mchezo wa diplomasia ya kutoaminika" na rais Donald Trump wa Marekani. Kuomba radhi kwa Bw. Navarro kumekuja siku chache baada ya rais Trump kuzozana na waziri mkuu wa Canada Bw. Trudeau kuhusu biashara na mkutano wa kilele wa G7 uliofanyika nchini Canada.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako