• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • FIFA yamteua Refarii Nestor Pitana kuchezesha mechi ya Ufunguzi kesho

  (GMT+08:00) 2018-06-13 09:45:13

  FIFA imemteua mwamuzi Nestor Pitana wa Argentina kuchezesha mechi ya ufunguzi wa michuano ya kombe la dunia mwaka huu katika wa wenyeji Urusi na Saudi Arabia uatakaopigwa kesho kwenye uwanja Luzhniki Mjini Moscow.

  Waamuzi wasaidizi watakuwa ni Juan Pablo Bellati na Hernan Maidana pia kutoka Argentina, na Sandro Ricci wa Brazil akitarajiwa kuwa mwamuzi wa Akiba.

  Na waamuzi watakaosimamia ushahidi wa picha za video ni Massimiliano Irrati wa Italy, Mauro Vigliano wa Argentina, Carlos Astroza wa Chile na Daniele Orsato wa Italy.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako