• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Bunge la Uingereza lathibitisha tarehe ya Brexit

  (GMT+08:00) 2018-06-13 09:45:40

  Baraza la makabwela la Bunge la Uingereza limethibitisha Machi 29 mwaka kesho kuwa tarehe ya Uingereza kujitoa rasmi Umoja wa Ulaya, baada ya kukataa mswada wa Baraza la mabwanyeye kubadilisha tarehe hiyo. Hatua hiyo imefikiwa baada ya Waziri mkuu wa Uingereza Bibi Theresa May kupinga kubadilisha tarehe ya Brexit.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako