• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uganda yasema China inaisaidia kutimiza ndoto yake ya maendeleo

  (GMT+08:00) 2018-06-13 20:24:36

  Waziri wa nchi anayeshughulikia mambo ya ujenzi wa Uganda Bw. Edward Katumba, amesema makampuni ya China yanasaidia Uganda kutimiza ndoto ya kuwa nchi yenye mapato ya kati kabla ya mwaka 2020. Bw Katuma amesema hayo wakati makampuni ya China yamekuwa mkandrasi wa miradi mikubwa ya Uganda ikiwa ni pamoja na upanuzi wa uwanja wa ndege wa Entebbe na barabara ya Kampala-Entebbe, na kusema Uganda inakaribisha mchango wa makampuni hayo kwenye sekta ya miundombinu.

  Aidha Bw. Katumba amesema makampuni ya China huajiri wenyeji wengi na kuwapatia ujuzi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako