• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • FIFA yatangaza mgao wa dola milioni sita kwa kila chama cha soka

  (GMT+08:00) 2018-06-14 09:09:56
  FIFA imetangaza mgawo wa Dola 6 milioni (zaidi ya Shilingi 13) bilioni kutoka Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kwa ajili ya maendeleo ya mpira wa miguu kwa kila chama cha soka. Mwenyekiti wa FIFA, Gianni Infantino amethibitisha hilo katika mkutano mkuu wa shirikisho hilo uliofanyika huu huko Moscow, Russia. Infantino ameahidi kuwa nchi zote 211 kila moja itapata mgawo huo kwa ajili ya kusaidia programu mbalimbali za maendeleo ya mchezo wa soka.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako