• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mwanasoka Yahya ahamia Azam FC kutoka Singida United

  (GMT+08:00) 2018-06-14 09:10:19

  Baada ya club ya Singida United ya Singida kumpoteza aliyekuwa kocha wao raia wa Uholanzi Hans van Pluijm na kiungo wake raia wa Zimbabwe Kutinyu kwa kujiunga na Azam FC, kuna taarifa mpya zimeripotiwa kutoka Azam FC kuwa wamefikia makubaliano ya kumrudisha kiungo wao wa zamani Mudathir Yahaya katika himaya yao Azam FC baada ya kuingia mkataba wa miaka miwili akitokea Singida United. Hizi ni taarifa mbaya kwa mashabiki wa Singida kwani wanampoteza mtu wa tatu muhimu katika kikosi chao.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako