• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Baraza kuu la Umoja wa mataifa lapitisha azimio kuhusu ulinzi wa raia wa Palestina

    (GMT+08:00) 2018-06-14 09:15:55

    Baraza kuu la Umoja wa mataifa limepitisha azimio kuhusu ulinzi wa raia wa Palestina, ambalo limesisitiza haja ya kuchukua hatua kuhakikisha kuwa usalama na maslahi ya wapalestina vinalindwa, na ukiukaji wowote wa azimio hilo unawajibishwa. Azimio hilo pia limelaani mashambuzi holela na matumizi ya nguvu kupita kiasi yanayofanywa na jeshi la Israel dhidi ya raia wa Palestina.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako