• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa Uingereza ashinda changamoto nyingine dhidi ya mpango wa Brexit

    (GMT+08:00) 2018-06-14 09:16:44

    Waziri mkuu wa Uingereza Bibi Theresa May amefanikiwa kuvunja majaribio matatu ya kuibakiza Uingereza kwenye Umoja wa forodha au Eneo la kiuchumi la Ulaya EEA kama sehemu ya makubaliano ya Uingereza kujitoa kwenye Umoja wa Ulaya. Upigaji kura uliendelea kwenye baraza la makabwela kwa siku mbili mfululizo kuhusu muswada muhimu wa Uingereza kujitoa Umoja wa Ulaya, ambao ni muswada muhimu kabisa kwa Uingereza katika kupindi cha miaka 70. Baraza hilo limepata ushindi wa kura 201 kupinga mapendekezo ya mabadiliko ya mswada huo yaliyopendekezwa na baraza la makabwela.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako