• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • James Comey alaumiwa kukiuka kanuni kwenye uchunguzi wa kashfa ya Hillary Clinton kutumia e-mail binafsi kazini

    (GMT+08:00) 2018-06-15 09:06:33

    Ripoti iliyotolewa jana inasema aliyekuwa kiongozi wa Shirika la upelelezi la Marekani FBI Bw. James Comey alikiuka kanuni za FBI na wizara ya sheria, wakati wa uchunguzi dhidi ya Hillary Clinton aliyetuhumiwa kutumia e-mail binafsi kwa ajili ya kazi za serikali alipokuwa waziri wa mambo ya nje. Ripoti hiyo iliyoandaliwa na mkaguzi mkuu Michael Horowitz, pia imesema kuwa maamuzi aliyotoa James Comey wakati wa uchaguzi mkuu wa Marekani mwaka 2016, hayakutokana na upendeleo wa kisiasa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako