• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Yemen arudi kwenye mji mkuu wa muda Aden

    (GMT+08:00) 2018-06-15 18:53:05

    Rais Abdrabbuh Mansour Hadi wa Yemen amekwenda kwa muda kwenye mji mkuu wa nchi hiyo Aden, jana usiku ili kuwatia moyo askari wanaofanya operesheni ya kijeshi huko Hudaydah.

    Shirika la habari la Yemen limesema, rais Hadi aliwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Aden na kufuatilia operesheni ya jeshi la serikali ya Yemen dhidi ya kundi la Huthi huko Hudaydah.

    Rais Hadi amesema operesheni ya kijeshi inayolenga kurejesha mji wa Hudaydah itapata mafanikio na pia inamaanisha kushindwa kwa nguvu ya kundi la Huthi nchini Yemen.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako