• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • IMF laonya sera ya biashara ya Marekani inatishia uchumi wa dunia

    (GMT+08:00) 2018-06-15 18:53:27

    Shirika la Fedha la Kimataifa IMF limeonya kuwa, sera ya biashara ya Marekani kuhusu kuongeza ushuru na hatua za kuweka vikwazo kwa uagizaji wa bidhaa kutoka nchi za nje itatishia mfumo wa uchumi na biashara wa dunia.

    Taarifa iliyotolewa na IMF imesisitiza kuwa, uchumi wa dunia unahitaji mfumo wa biashara wenye msingi wa kufungua mlango, usawa na kanuni, lakini sera na hatua za biashara za Marekani zinafanya pande mbalimbali kuwa na wasiwasi kuwa zitaleta athari mbaya kwa Marekani na wenzake wa kibiashara.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako