• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China azungumzia hatua ya kujilinda kibiashara ya Marekai dhidi ya China

    (GMT+08:00) 2018-06-15 22:05:17

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Lu Kang leo amesema China itajibu mara moja hatua ya kujilinda kibiashara ya Marekani.

    Bw. Lu Kang amesema China haitaki vita vya kibiashara, lakini kutokana na hatua ya Marekani ya kudhuru maslahi yake, China itachukua hatua ya kuongeza ushuru wa forodha dhidi ya bidhaa za Marekani zenye thamani sawa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako