• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wizara ya mambo ya nje ya Urusi yatoa wito kwa Umoja wa Maraifa kurekebisha hatua za vikwazo dhidi ya Korea Kaskazini

    (GMT+08:00) 2018-06-16 19:23:13

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi Bibi Maria Zakharova amesema Urusi ina uhakika marekebisho ya Baraza la Usalama la Umoja la Mataifa dhidi ya Korea Kaskazini ni hatua muhimu za kuhimiza kuhalalisha hali ya utulivu ya Peninsula ya Korea.

    Kwa mujibu wa habari hiyo iliyotolewa na tovuti ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi, Bibi Zaharova alisema kuwa Urusi inaunga mkono kuanzisha mfumo wa utaratibu wa uratibu wa kimataifa kwa vyama vyote vinavyohusika katika kuondoa nyuklia ya Peninsula ya Korea, na Urusi ina nia ya kushirikiana na pande zote kutimiza mfumo huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako