• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Muungano wa matamasha ya filamu ya "Ukanda Mmoja na Njia Moja" waanzishwa

  (GMT+08:00) 2018-06-16 19:32:14

  Kwenye siku ya kwanza ya ufunguzi wa Tamasha la kimataifa la filamu la Shanghai, sherehe ya kuanzishwa kwa muungano wa matamasha ya filamu ya "Ukanda Mmoja na Njia Moja" yamefanyika mjini Shanghai, ambapo wajumbe wa matamsha ya filamu au makampuni ya filamu kutoka nchi 30 wameshiriki kwenye sherehe hiyo. Pande zilizopo kwenye Muungano huo ni pamoja na tamasha la kimataifa la filamu la Shanghai, tamasha la kimataifa la filamu la Cairo, tamasha la kimataifa la filamu la Moscow n.k.

  Mkurugenzi wa idara ya utamaduni na matangazo ya Shanghai Bi. Yu Xiufen amesema, nia ya kuanzishwa kwa muungano huo ni kuhimiza ushirikiano na mawasiliano kati ya nchi mbalimbali kwenye sekta ya filamu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako