• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • UNCCD: kuvia kwa ardhi kusababisha hasara ya dola trilioni 23

    (GMT+08:00) 2018-06-18 08:19:49

    Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa kupambana na kuenea hali ya jangwa duniani (UNCCD) umetoa ripoti ya tathmini ukionya kuwa kuvia kwa ardhi kutaweza kusababisha hasara ya dola za kimarekani trilioni 23 katika miongo mitatu ijayo, kama hatua za haraka hazitachukuliwa. Kwa mujibu wa ripoti hiyo, mabara ya Asia na Afrika yataongoza kwa kupata hasara kubwa zaidi kutokana na kuvia kwa ardhi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako