• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tamasha la filamu la SCO lafungwa

    (GMT+08:00) 2018-06-18 08:20:24

    Tamasha la kwanza la filamu la Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai SCO limefungwa jana mjini Qingdao, China. Filamu ya China "Safari ya kwenda Beijing" na filamu ya Afghanistan "Mina Songa mbele" zimepata tuzo ya filamu bora. Tamasha hilo la siku tano lililoandaliwa kwa pamoja idara ya filamu ya taifa ya China na serikali ya mkoa wa Shandong, linalenga kupanua mawasiliano na ushirikiano wa kiutamaduni kati ya nchi wanachama wa SCO.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako