• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mashindano ya magari Ya Huye 2018: Madreva 19 wajiandikisha kushiriki

  (GMT+08:00) 2018-06-18 08:33:50

  Madreva 19 wamejiandikisha kwa ajili ya mashindano ya magari yanayojulikana kama Huye 2018 ambayo yanatarajiwa kuanza Juni 23 na 24.

  Kwa mujibu wa waandaji wamesema madreva wataoshiriki ni kutoka Uganda, Burundi na mwenyeji Rwanda, na yatakuwa ya kilomita 290.

  Haya ni mashindano ya 35 ya magari na ni ya pili kwa ukubwa baada ya mashindano ya magari ya taifa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako