• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Muungano unaoongozwa na Marekani wafanya mashambulizi ya anga dhidi ya kituo cha jeshi la Syria

    (GMT+08:00) 2018-06-18 09:52:45
    Shambulizi la anga lililoongozwa na Marekani dhidi ya jeshi la Syria limesababisha majeruhi kadhaa.

    Shambulizi hilo limelenga kuharibu kituo cha kijeshi katika wilaya ya Hiry, kusini mashariki mwa mji wa al-Bukamal, Deir al-Zour. Hii si mara ya kwanza kwa Marekani kufanya shambulizi la anga nchini humo, hasa katika jimbo hilo.

    Habari zinasema, serikali ya Syria inaendelea kulaani mashambulizi hayo yanayoongozwa na Marekani, na kusema yanalisaidia kundi la IS jimboni Deir al-Zour ambako limedhibiti maeneo kadhaa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako