• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Zaidi ya wapiganaji 40 wanaoiunga mkono serikali ya Syria wauawa kwenye mashambulizi ya anga yaliyofanywa na nchi za kigeni

    (GMT+08:00) 2018-06-18 16:49:13

    Zaidi ya wapiganaji 40 wanaounga mkono serikali ya Syria wameuawa kwenye mashambulizi ya anga yaliyofanywa na nchi za kigeni dhidi ya vituo vya kijeshi mashariki mwa nchi hiyo.

    Shirika la haki za binadamu la Syria lenye makao makuu yake mjini London limesema, ndege za kivita zilizofanya mashambulizi hayo bado hazijulikani ni za nchi gani, vilevile limesema idadi ya vifo huenda itaongezeka kwa kuwa wapiganaji wengi wamejeruhiwa vibaya na wengine hawajulikani walipo.

    Kituo cha televisheni cha taifa nchini Syria jana kimesema, mashambulizi hayo yalifanywa na muungano wa jeshi unaoongozwa na Marekani,

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako