• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Philippines yapenda kutatua kwa njia ya amani suala na Bahari Kusini pamoja na China

    (GMT+08:00) 2018-06-18 19:49:37

    Rais Rodrigo Roa Duterte wa Philippines leo huko Manila amesema, nchi yake inapaswa kufanya mawasiliano ya wazi na China na kutatua kiamani suala la Bahari Kusini kwa pamoja.

    Rais Duterte amesema hayo alipohudhuria mkutano wa kuadhimisha miaka 120 tangu wizara ya mambo ya nje ya Philippines ilipoanzishwa. Amesisitiza kuwa, serikali yake italinda imara ukamilifu wa ardhi ya nchi, lakini suala la Bahari Kusini si sehemu zote za uhusiano kati ya Philippines na China, na uhusiano mzuri kati ya nchi hizo mbili unaweza kuinufaisha Philippines kwenye mambo ya uchumi na usalama.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako