• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kombe la Dunia, FIFA yatoa adhabu kwa Mexico kwa kutoa lugha za matusi

    (GMT+08:00) 2018-06-19 09:35:54

    Chama cha mpira cha Mexico kimetozwa fainia ya fedha dola za kimarekani 30,000 ikiwa ni adhabu iliyotolewa na shirikisho la soka ulimwenguni FIFA kutokana na kitendo cha mashabiki wa timu ya taifa ya Mexico kukiuka kanuni kwa kudhihaki wakati wa kushangilia ushindi dhidi ya Ujerumani.

    Mashabiki wa Mexico walimzomea kwa sauti kubwa golikipa wa Ujerumani, kila alipogusa mpira wakimwita, mtu anayeshiriki mapenzi ya jinsia moja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako