• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matokeo ya mechi za Kombe la Dunia: Tunisia yafungwa na Uingereza

    (GMT+08:00) 2018-06-19 09:36:10

    Katika mechi tatu zilizopigwa jana, Timu ya taifa ya Ubeligiji ilipata ushindi wa magoli 3-0 dhidi ya Panama, Uingereza ikaifunga Tunisia kwa magoli 2-1 na Sweden ikapata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Korea Kusini.

    Michuano hiyo inaendelea tena leo kwa mechi tatu, mbili za kundi H ambapo Colombia itacheza na Japan, Senegal ikicheza dhidi ya Poland, na wenyeji Urusi kutoka kundi A watacheza dhidi ya Misri.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako