• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kamishna wa Umoja wa Mataifa asema amani inaweza kupatikana tu kinyume na utaifa

    (GMT+08:00) 2018-06-19 09:53:50

    Kamishna mkuu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia haki za binadamu Bw. Zeid Ra'ad Al Hussein amesisitiza kuwa, amani inaweza kupatikana tu kinyume na utaifa.

    Akiongea kwenye kikao cha 38 cha Baraza la haki za binadamu la Umoja wa mataifa UNCHR Zeid amesema utaifa wa upendeleo unakwenda kinyume na matakwa ya Umoja wa Mataifa. Pia ameonyesha wasiwasi kutokana na kuongezeka kwa mashambulizi dhidi ya Azimio la haki za binadamu la Umoja wa mataifa.

    Amesema kila uamuzi wa kushirikiana na mfumo wa kimataifa wa haki za binadamu utasaidia kujenga jamii yenye masikilizano zaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako