• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Marekani atoa amri ya kuunda jeshi la anga ya juu

    (GMT+08:00) 2018-06-19 18:23:07

    Rais Donald Trump wa Marekani jana ameitaka wizara ya ulinzi ya Marekani ianze mara moja kuunda jeshi la anga ya juu akisema, uhusiano kati ya jeshi la anga na jeshi la anga ya juu ni "kujitenga na usawa".

    Pendekezo hilo limeungwa mkono na baadhi ya wabunge, huku wabunge wengine wakiwa na wasiwasi kuhusu pendekezo hilo.

    Rais Trump amesema, hatma ya Marekani nje ya dunia si kama tu ni suala la utambulisho wa taifa, bali pia ni suala la usalama wa taifa. Amesisitiza kuwa ili kujilinda, Marekani lazima ichukue nafasi ya uongozi kwenye anga ya juu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako