• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China na Umoja wa mataifa zaimarisha ushirikiano katika masuala ya anga za juu

    (GMT+08:00) 2018-06-20 08:30:59

    Mkurugenzi wa Ofisi ya Umoja wa mataifa inayoshughulikia masuala ya anga za juu UNOOSA Bibi Simonetta Di Pippo, amesema ushirikiano kati ya China na ofisi yake umeimarishwa. Bibi Di Pippo amesema China si kama tu imepata mafanikio makubwa kwenye shughuli za anga za juu, bali pia imeonesha ahadi yake kwa ushirikiano wa kimataifa juu ya matumizi ya anga za juu kwa njia ya amani. China inapanga kufungua Kituo cha anga za juu cha China CSS kwa nchi zote wanachama wa Umoja wa mataifa, hatua ambayo Bibi Di Pippo amesema ni muhimu kwenye kuleta manufaa halisi kwa nchi mbalimbali katika kuendeleza sayansi na teknolojia za anga za juu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako