• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu saba wafariki baada ya boti kupinduka katikati ya Ethiopia

    (GMT+08:00) 2018-06-20 08:31:36

    Watu saba wamefariki dunia baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kupinduka katika jimbo la Oromia katikati ya Ethiopia. Ofisa mkuu wa mahusiano ya umma katika idara ya polisi ya eneo la Shoa mashariki jimbo la Oromia, Bw. Achalew Alemu, amesema boti hiyo iliyokuwa na abiria 18 ilipinduka Jumamosi asubuhi wakati inasafiri kwenye mto Awash, watu 11 waliokolewa na wakazi wa eneo la tukio. Polisi wa huko wametaja kuongezeka ghalfa kwa maji ya moto Awash, kuwa ni chanzo cha ajali hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako