• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda yapanga kuvutia uwekezaji kwenye Tehamaatika ICT

    (GMT+08:00) 2018-06-20 09:50:41

    Rwanda inapanga kuvutia uwekezaji mwingi zaidi kwenyeatika sekta ya t Tehamateknolojia za upashanaji wa habari na mawasiliano ICT, ili kuifanya nchi hiyo iwe kituo cha ICT Tehama barani Afrika.

    Kwenye kongamano la ushauri kuhusu mkakati wa kujenga kituo cha TehamaICT, katibu wa kudumumkuu wa wizara ya tTehama ICT ya Rwanda Bw. Regis Gatarayiha, amesema teknolojia mpya imeleta uvumbuzi mkubwa na kubadilisha uwezekano wa maendeleo ya uchumi wa dunia. Rwanda inapanga kuvutia uwekezaji mwingi zaidi ili kusukuma mbele uvumbuzi na ujasiriamali nchini humo.

    Amesema maendeleo ya dunia yamewafanya watu kutambua watambue umuhimu wa teknolojia, na sekta ya tTehamaICT ina uwezekano mustakbali mkubwa wa kupata maendeleo zaidi , lakini bado haijaendelezwa, na wawekezaji watapata fursa nyingi za ujenzi wa miundo mbinu ya TehamaICT kote nchini Rwanda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako