• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kombe la Dunia: Rais wa zamani wa FIFA, Blatter ahudhuria licha ya kufungiwa

    (GMT+08:00) 2018-06-20 10:15:40

    Licha ya kupewa adhabu ya kutotakiwa kujihusisha na mchezo wa soka kwa miaka 6, na uchunguzi ukiendelea dhidi yake, Rais wa zamani wa shirikisho la soka duniani FIFA, Sepp Blatter aliwasili mjini Moscow jana.

    Katika mazungumzo yake na waandishi wa habari, Blatter aliweka wazi kuwa licha ya kupenda ladha ya kombe la dunia, ziara yake hiyo ilitokana na mwaliko wa Russia Vladmir Putin ambaye inadaiwa ni rafiki yake wa karibu.

    Mwaka 2016 FIFA ilimfungia Blatter kutojihusisha na soka kutokana na kesi za rushwa na matumizi mabaya ya madaraka yake.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako