• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maonyesho ya kikanda kufanyika Uganda Juni 27

    (GMT+08:00) 2018-06-20 19:20:16
    Uganda inatarajiwa kuandaa maonyesho ya kibiashara awamu ya tano kati ya tarehe 27 na 28 mwezi huu.

    Waonyeshaji bidhaa kutoka Kenya, Uganda, Tanzania na kote katika kanda ya Afrika mashariki watashiriki maonyesho hayo yanayoandaliwa na Bright Exhibitions Milki za Kiarabu.

    Maonyesho hayo aidha yatavutia wafanya biashara kutoka Uturuki ,Oman, India, China na Ulaya.

    Aidha yatasaidia Uganda na nchi nyingine za Afrika Mashariki kuonyesha bidhaa na makampuni yao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako