Fedha hizo ni kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maji, nishati na usafirishaji kupitia Mpango wa Pili wa Taifa wa Maendeleo (2017-2021).
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Doto James alisema hayo jana Dodoma alipokutana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD), Remy Rioux.
Katika hafla hiyo, ujumbe wa Tanzania na Ufaransa ulijadili uendelezaji wa ushirikiano mzuri kati ya nchi uliodumu zaidi ya miaka 58.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |