• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Zanzibar waibuka kidedea mashindano ya UMISETA

    (GMT+08:00) 2018-06-21 08:36:27
    Chama cha mpira wa meza (Table Tennis) Zanzibar kimewapongeza wachezaji wake na wadau waliosaidia katika mashindano ya UMISETA hadi kunyakuwa Ubingwa kwa mara ya kwanza .

    Katibu Mkuu wa chama hicho Ahmedi Abdalla amesema baada ya kufanya vizuri kwenye mashindano ya UMISETA mwaka huu na kuwa mabingwa kuna haja ya kuungwa mkono mchezo huo.

    Aidha kwa upande mwengine ameelezea vipaumbele vyao kwa mchezo huo wa mpira wa Meza ni kuanza kwa vijana kuwapa mafunzo na semina za wakufunzi ili kukuza mchezo huo Zanzibar.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako