• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rayon Sports yamtangaza Mbrazil, kuwa kocha wake mkuu

    (GMT+08:00) 2018-06-21 08:36:47
    Klabu ya Rayon Sports ya Rwanda imemtangaza Mbrazil Roberto Oliveira Goncalves do Carmo kuwa kocha mkuu akichukua nafasi ya Ivan Minneart ambaye ameshushwa kwenye timu ya vijana.

    Ripoti kutoka nchini Rwanda zinasema, Roberto ana uzoefu na soka la Afrika ambapo aliwahi kuifundisha Petro Atletico ya Angola na pia aliwahi kuifunza timu ya Taifa ya Angola, Parancras Negros.

    Rayon Sports pia imemfuta kazi aliyekuwa kocha msaidizi Erick Ndayishimiye.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako