• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Iran imeruhusu wanawake kuingia uwanjani baada ya miaka 37

    (GMT+08:00) 2018-06-21 08:37:05
    Taifa la Iran June 20 mwaka huu limeingia katika historia mpya katika michuano ya Kombe la Dunia inayoendelea nchini Urusi baada ya kuruhusu mashabiki wake wa kike kuingia uwanjani kuishangilia timu yao ikicheza dhidi ya Hispania.

    baada ya miaka 37 toka tukio kama hilo litokee 1979, Iran ni miongoni mwa baadhi ya nchi za kiharabu ambazo haziruhusu wanawake kwenda uwanjani.

    Iran wameambulia kipigo cha goli 1-0, goli pekee la Hispania lilifungwa na Diego Costa dakika ya 54, pamoja na Iran kuongeza nguvu ya mashabiki wake wa kike uwanjani lakini haikusaidia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako