• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mawaziri wa mambo ya nje wa China na Senegal wafanya mazungumzo

    (GMT+08:00) 2018-06-21 17:03:15

    Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi jana hapa Beijing amefanya mazungumzo na waziri wa mambo ya nje wa Senegal Bw. Sidiki Kaba ambaye yuko ziarani China.

    Bw. Wang Yi amesema, China inatilia maanani sana uhusiano kati yake na Afrika, na hivi sasa pande hizo mbili zinafanya maandalizi ya mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika utakaofanyika mwezi Septemba hapa Beijing.

    Bw. Kaba amesema, Senegal inapenda kuimarisha ushirikiano na China chini ya mfumo wa Baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika, na kutoa mchango zaidi kwa kuhimiza ujenzi wa baraza hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako