• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kauli ya Marekani kuilaumu China kwa kupora haki miliki ya ujuzi na kulazimisha kukabidhi tekenolojia ni kuvuruga historia na ukweli

    (GMT+08:00) 2018-06-21 19:22:18

    Msemaji wa wizara ya biashara ya China Bw. Gao Feng amesema, kauli ya Marekani kuilaumu China kupora haki miliki ya ujuzi na kulazimisha kukabidhi tekenolojia inalenga kuharibu historia na ukweli.

    Bw. Gao Feng amesisitiza kuwa, katika mchakato wa China wa kufungua mlango na kufanya mageuzi, makampuni mengi ya kigeni yameshirikiana vizuri na makampuni ya China kwenye msingi wa maslahi yao ya pamoja.

    Amesema Marekani inailaumu China bila ya kujali hali halisi, ikikanusha haki miliki na mikopo, na kukanusha kufahamu makubaliano.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako