• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mtigwa Sugar U-20 Mabingwa

    (GMT+08:00) 2018-06-22 08:39:13
    Timu ya Mtibwa Sugar imefanikiwa kutwaa ubingwa wa michuano ya ligi kuu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20, maarufu kama kombe la Uhai inayoshirikisha vikosi vya pili vya vilabu vya ligi kuu Tanzania Bara baada ya ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Stand United ya Shinyanga.

    Timu ya Simba wao wameibuka mshindi wa tatu kwa kuwabwaga Azam fc kwa jumla ya penalti 4-3 baada ya sare ya 1-1. Huu ni muendelezo mzuri kwa timu za mtibwa baada ya timu ya wakubwa kutwaa ubingwa wa shirikisho la soka Tanzania.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako