• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maandalizi yamekamilika, kazi kwa timu shiriki

    (GMT+08:00) 2018-06-22 08:39:57
    Kamati ya mashindano ya kombe la ZFA tayari imeshakamilisha utaratibu wa mashindano hayo mapya kwa Zanzibar ambayo mdhamini wake mkuu ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein.

    Katibu wa mashindano hayo amesema maandalizi yamekamilika ikiwemo ukaguzi wa viwan ja vitakavyotumika, waamuzi, miundombinu. Huku akitaja timu 64 zitashiriki kutoka kila kanda za Unguja na Pemba.

    Mashindano hayo yatakuwa ya mtoano na yatafunguliwa rasmi kesho jumamosi kwa mechi kati ya Jang'ombe na Dulla Boys.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako