• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Michuano ya wazi ya Gofu kufunguliwa leo

    (GMT+08:00) 2018-06-22 08:40:19
    Michuano ya wazi ya gofu yajulikanayo kama TANAPA Lugalo Open yanatarajiwa kutimua vumbi leo katika viwanja vya jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania Lugalo jijini Dar es Salaam.

    michuano hiyo ambayo itaanza kwa wachezaji wa kulipwa na wachezaji wasaidizi huku Jumamosi na jumapili ikisalia kwa wachezaji wa ridhaa.

    Mashindano hayo yatashirikisha wachezaji wa ridhaa na wa kulipwa katika makundi yote ikiwemo wanawake wazee na watoto sambamba na wachezaji wasaidizi ambao watapata nafasi katika siku ya kwanza ya mashindano.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako