• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Vijana wa Afrika watembelea mtaa wa Longquan hapa Beijing

    (GMT+08:00) 2018-06-22 13:43:05
    Vijana 17 wa Afrika na vijana 15 wa China wanaohudhuria tamasha la tatu la vijana wa China na Afrika wametembelea mtaa wa Longquan katika eneo la Xicheng mjini Beijing, wamesikiliza kazi za mtaa huo katika kuboresha maisha ya wakazi na kutatua matatizo yao. Pia wametembelea bustani ya Taoranting, na kujionea jinsi wakazi wanavyojiburudisha.

    1. Viongozi wa mtaa wa Longquan akieleza kazi za mtaa huo.

    2. Kiongozi wa mtaa wa Longquan akijibu swali la kijana kutoka Zambia Mulebule Namwaambwa kuhusu jinsi mtaa huo unavyowasaidia watu wanaokosa ajira kufanya kazi tena.

    3. Kijana wa Afrika akijifunza kucheza ala ya muziki ya Erhu.

    4. Kijana wa Afrika akicheza ngoma pamoja na wakazi katika bustani ya Taoranting.

    5. Kijana wa Libya Elhouni Saleh akipiga picha pamoja na wenzi wao kutoka Afrika na China mbele ya bustani ya Taoranting.

     

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako