• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Vijana wa Afrika watembelea eneo la viwanda vya uvumbuzi la Zhongguancun hapa Beijing

    (GMT+08:00) 2018-06-22 13:43:59

    Tarehe 22 Juni mchana, vijana wa Afrika wametembelea eneo la viwanda vya uvumbuzi la Zhongguancun hapa Beijing, kujionea mabadiliko ya eneo hilo yaliyotokea katika miaka 30 iliyopita, kufahamu maendeleo ya kazi za uvumbuzi za eneo hilo na mpango wa kuvutia wafanyakazi wenye ujuzi kutoka nchi za ng'ambo

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako