• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maonyesho ya 7 ya kimataifa ya mambo ya fedha yafanyika Guangzhou

    (GMT+08:00) 2018-06-24 17:17:24

    Maonyesho ya 7 ya kimataifa ya mambo ya fedha yamefanyika kuanzia tarehe 22 hadi 24 mjini Guangzhou, China, na thamani ya makubaliano yaliyofikiwa imezidi dola za kimarekani bilioni 69.

    Katibu mkuu wa shirikisho la benki la China Bw. Huang Runzhong amesema, maonyesho hayo yametoa jukwaa kwa ajili ya mawasiliano ya kati ya benki za ndani na nchi za nje, pia yameonyesha mafanikio ya China katika mambo ya kifedha.

    Habari zinasema maonyesho hayo yamehudhuriwa na mashirika 326 kutoka nchini China na nchi za nje.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako