• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Chipukizi Didier Munyaneza ashinda ubingwa wa taifa

  (GMT+08:00) 2018-06-25 09:28:20

  Didier Munyaneza mwenye miaka 20 ameshinda taji la mwaka huu la mbio za baiskeli za nchini Rwanda zilizomalizika jana mjini Kigali.

  Munyaneza alitumia saa 3 dakika 55 na sekunde 12 kwenye umbali wa kilomita 150 wenye mizunguko 12, akimshinda kwa sekunde 2 tu Mathew Twizerane aliyeshinda nafasi ya pili.

  Awali ushindi wa mbio hizo ulitazamiwa kwenda kwa mabingwa wa kimataifa Joseph Areruya na Bonaventure Ewiyezimana ambao nao walishiriki mashindano hayo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako