• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Vijana wa Afrika watembelea ukuta mkuu wa kasri la kifalme hapa Beijing

    (GMT+08:00) 2018-06-25 10:14:02

    Tarehe 23 Juni asubuhi, vijana zaidi ya 200 wanaohudhuria tamasha la vijana wa China na Afrika walitembelea ukuta mkuu sehemu ya Juyongguan, kaskazini mwa Beijing. Mchana walitembelea kasri la kifalme, na kujionea historia, utamaduni na mtindo wa jadi wa majengo ya China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako