• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Vijana wa Afrika watembelea eneo jipya la Tianfu mjini Chengdu

    (GMT+08:00) 2018-06-25 10:15:14

    Tarehe 24 vijana wanaohudhuria tamasha la vijana wa China na Afrika walifika mjini Chengdu mkoani Sichuan. Walitembelea eneo jipya la Tianfu mjini humo ambalo ni kituo muhimu cha ujenzi wa "Ukanda Mmoja, Njia moja" na ukanda wa maendeleo ya uchumi ya bonde la mto Changjiang. Ofisa mwandamizi wizara ya mambo ya nje ya Kenya Bibi Mercy Atieno Odongo amerekodi video kuhusu eneo hili kwa kutumia simu yake.

     

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako