• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China aagiza kufanya jitihada zaidi katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya

    (GMT+08:00) 2018-06-25 16:11:21

    Rais Xi Jinping wa China hivi karibuni amesisitiza kuwa, inapaswa kuimarisha uongozi wa Chama cha Kikomunisti cha China katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya, kwa njia ya kukamilisha mfumo wa usimamizi, kuwajibisha, na kuwahamasisha wananchi wote.

    Rais Xi amesema, tangu mkutano wa 18 wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China , mapambano dhidi ya dawa za kulevya yamepiga hatua kubwa, na kusisitiza kuwa mapambano hayo yanahusu usalama na ustawi wa taifa na maisha ya watu, hivyo hayawezi kulegea mpaka biashara haramu ya dawa za kulevya iangamizwe.

    Tarehe 26 mwezi Juni ni siku ya kimataifa ya kupiga marufuku dawa za kulevya, na kauli mbiu ya siku hiyo kwa mwaka huu nchini China ni "Maisha yenye afya nzuri, bila ya dawa za kulevya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako