• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Vijana wa Afrika watembelea kituo cha uhifadhi wa panda

    (GMT+08:00) 2018-06-25 16:19:25

    Vijana wanaohudhuria tamasha la vijana wa China na Afrika, leo wametembelea kituo cha uhifadhi wa panda huko Dujiangyan mkoani Sichuan China. Kituo hiki kilichoko karibu na maskani ya Panda ni idara pekee nchini China inayoshughulikia kinga na matibabu ya magonjwa ya Panda, uokoaji wa Panda pori na utoaji wa elimu kuhusu Panda.

     

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako