• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wachapishaji wa sarafu ya kenya British printer De La Rue wametangaza kuimarisha noti

    (GMT+08:00) 2018-06-25 19:46:28

    Wachapishaji wa sarafu ya kenya British printer De La Rue wametangaza kuimarisha noti kwa ajili ya kupunguza kukatika na kuharibika kwa noti zinazotumika sasa.

    Hatua hii inatarajiwa kupunguza gharama inayotumiwa kuchapisha noti na hatimaye kupunguza gharama za fedha.

    Noti zimeharibiwa kwa sababu ya utunzaji mbaya, ambayo imesababisha Benki Kuu ya Kenya kutoa sheria ambazo zitaona mtu akifungwa kifungu cha miaka mitatu au faini y ash 500,000 akipatikana.

    Kampuni ya Uingereza mnamo mwezi Januari ilisema ilikuwa inaweka Sh milioni 286 katika upanuzi wa kituo cha Ruaraka.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako